Location

Salasala, Dar es salaam

Call Us

+255 739 222 237

Email

info@greenacres.ac.tz

Uzinduzi wa Klabu ya Uhamiaji

Historia imeandikwa!

Green Acres Schools imeweka historia kwa kuwa shule ya kwanza jijini Dar es Salaam kuzindua rasmi Klabu ya Uhamiaji.

Uzinduzi huo uliongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Saad Mtambule, ukiweka msisitizo katika kuwajenga vijana wenye uzalendo, maadili, uelewa wa sheria na uwajibikaji kwa Taifa. 🎖️

Tunajivunia kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Jeshi la Uhamiaji na viongozi mbalimbali wa Serikali katika kuandaa kizazi cha viongozi wa kesho. 🤝🇹🇿

▶️ Tazama baadhi ya matukio ya siku hii ya kihistoria.

Share This :